Watumishi kutoka Ofisi ya Wakala wa Barabara nchini (TANROADS) mkoa wa Njombe wameadhimisha wiki ya Utumishi wa Umma kwa kutoa mahitaji mbalimbali katika Jengo la Huduma za Mama na Mtoto, Ho...Read more
![image description](http://www.njomberrh.go.tz/storage/app/uploads/public/668/7d6/223/thumb_220_357_210_0_0_crop.jpg)
Karibu Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Njombe kwa huduma bora kutoka kwa madaktari wabobezi...
Read moreHospitali ya Rufaa ya mkoa wa Njombe, wagonjwa tunaowahudumia ni wa Rufaa na tunafanya upasuaji wa dharura na uliopangwa.
Huduma tulizonazo ni pamoja na :
Ni Idara ambapo wagonjwa wa hali mbalimbali za matibabu au upasuaji ambao wanavyo vigezo vya uandikishaji wanapewa malazi . IPD ina sehemu zifuatazo na huduma za matibabu, upasuaji, magonjwa ya watoto, magonjwa ya wanawake, kabla ya kuzaa na baada ya ku...
readmoreWatumishi kutoka Ofisi ya Wakala wa Barabara nchini (TANROADS) mkoa wa Njombe wameadhimisha wiki ya Utumishi wa Umma kwa kutoa mahitaji mbalimbali katika Jengo la Huduma za Mama na Mtoto, Ho...Read more
UGONJWA WA HOMA YA INI (HEPATITIS) : MAMBO MUHIMU YA KUFAHAMU
Ini ni kiungo muhimu sana ndani ya miili yetu, hufanya kazi zaidi ya 500 ; moja ya kazi ni kuchuja na kuondoa sumu kutoka kwenye damu.
Kutokana na sababu mbalimbali kama pombe iliyopita k...
read moreFAHAMU KUHUSU HOMA YA EBOLA
Ugonjwa wa Homa ya Ebola ni ugonjwa wa hatari unaosababishwa na virusi vya ebola. Ugonjwa huu ni miongoni mwa magonjwa ya milipuko yajulikanayo kama homa za virusi vinavyo sababisha kutoka damu mwilini.
Kuna aina tano za ...
read moreVIRUSI VYA CORONA NI NINI?
Kuna vimelea vingi vya magonjwa duniani kote kama Bakteria , Virusi ,Fangi ,Protozoa na Parasaiti
Aghalabu katika makundi yote haya Kuna aina za vimelea ambavyo huwa hatarishi mno na huua haraka wanyama wanyonyeshao na nde...
read more