Contact Us | FAQ | Mails | Complaints |

MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI, HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA - NJOMBE

Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Njombe, anapenda kuwataarifu waombaji kazi wote walioomba

 ajira za Mkataba zilizotangazwa tarehe 20/02/2024 kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 11-12 Machi 2024

(Jumatatu na Jumanne) hatimaye kuanza kazi kwa waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.

BONYEZA HAPA CHINI KUSOMA MAJINA HAYO

MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI NJOMBE RRH.pdf

- 06 March 2024