Contact Us | FAQ | Mails | Complaints |

Our Services

 Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Njombe, wagonjwa tunaowahudumia ni wa Rufaa na tunafanya upasuaji wa dharura na uliopangwa.

 Huduma tulizonazo ni pamoja na :

  • upasuaji mkubwa ( laparatomy)
  • mshipa maji ( hydrocelle)
  • mshipa ngili (Hermia) zote
  • ...
readmore

 Ni Idara ambapo wagonjwa wa hali mbalimbali za matibabu au upasuaji ambao wanavyo vigezo vya uandikishaji wanapewa malazi .  IPD ina sehemu zifuatazo na huduma za matibabu, upasuaji, magonjwa ya watoto, magonjwa ya wanawake, kabla ya kuzaa na baada ya ku...

readmore