Contact Us | FAQ | Mails | Complaints |

Upasuaji

Posted on: June 24th, 2024

 Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Njombe, wagonjwa tunaowahudumia ni wa Rufaa na tunafanya upasuaji wa dharura na uliopangwa.

 Huduma tulizonazo ni pamoja na :

  • upasuaji mkubwa ( laparatomy)
  • mshipa maji ( hydrocelle)
  • mshipa ngili (Hermia) zote
  • uvimbe

 Matarajio yetu huduma zitazidi kuboreshwa kadri muda unavyoenda.