Contact Us | FAQ | Mails | Complaints |

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MKATABA NJOMBE RRH

Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Njombe, anapenda kuwatangazia nafasi za kazi,

 watanzania wote wenye sifa zinazohitajika na wenye nia ya dhati ya kufanya kazi katika Hospitali ya 

Rufaa ya Mkoa wa Njombe kuwasilisha maombi yao ndani ya siku 14, kuanzia tarehe 20/02/2024

 hadi tarehe 04/03/2024.

BOFYA HAPO CHINI KUZISOMA

NAFASI ZA KAZI NJOMBE RRH.pdf

- 20 February 2024