Contact Us | FAQ | Mails | Complaints |

PONGEZI KWA WASHINDI WA KAGUZI ZA NDANI ZA ISS NA 5S KAIZEN-TQM

Posted on: January 3rd, 2023

Kaimu Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Njombe Dkt Lazaro Jumbo Jassely na  Bi. Rehema Willium Nyongole kutoka kitengo cha huduma bora wametoa zawadi ya pesa taslimu pamoja na cheti kwa idara na vitengo vilivyofanya vizuri kwenye ukaguzi wa ndani wa ISS(Internal Supportive Suppervision) na 5S KAIZEN-TQM kwa robo mwaka ya kwanza ya mwaka 2022/2023. Idara na vitengo vilivyofanya vizuri ni:-

  •  Kitengo cha CTC  - Washindi katika ukaguzi wa 5S KAIZEN-TQM
  • Kitengo cha Upasuaji (Theatre) - Washindi katika ukaguzi wa ISS
  • Idara ya Watoto  - Washindi katika ukaguzi wa ISS