Contact Us | FAQ | Mails | Complaints |

MHESHIMIWA RAIS AKIFANYA ZIARA KATIKA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA NJOMBE

Posted on: August 8th, 2022

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika ziara ya ukaguzi

wa ujenzi unaoendelea (Jengo la huduma ya Afya ya Mama na Mtoto) katika Hospitali ya Rufaa ya

Mkoa  wa Njombe tarehe 09/08/2022.