Contact Us | FAQ | Mails | Complaints |

MAADHIMISHO YA SIKU YA TIBA YA VIUNGO (FIZIOTHERAPIA) DUNIANI

Posted on: September 6th, 2022

Katika kuadhimisha siku ya tiba ya viungo duniani Tarehe 08/09/2022 wataalamu kutoka Hospitali Ya Rufaa Mkoa wa Njombe Bw. Rasul Chihako na Bi. Paulina Chitalula wametoa huduma mbalimbali katika viunga vya soko jipya