Contact Us | FAQ | Mails | Complaints |

JARIDA LA MWEZI LA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA NJOMBE KWA FEB & MACHI LIMETOKA

Posted on: April 4th, 2024

Sasa unaweza kusoma online au kupakua (download) jarida la Mwezi la Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Njombe ili kuangalia habari zilizojiri, matukio, huduma zilizotolewa na kuifahamu zaidi Taasisi yetu.

Bonyeza link hapa chini kupakua

https://drive.google.com/file/d/119Mvt7l3dmmbMmomj_5wXfIKDfQsCI1y/view?usp=drive_link